SUPER GRO KIUNDANI ZAIDI DUMU LA LITA (Tano) 5 LA SUPER GRO IFAHAMU SUPER GRO Super Gro ni Kirutubisho bora asilia cha Mimea kisicho na kemikali ambacho kilitengenezwa ili kuhakikisha uimarishaji wa mazao yako katika hali ya majira yoyote pia huongeza uzalishaji wa mazao kwa ubora wa hali ya juu kwa kilimo chochote. Kirutubisho hichi asilia chenye sifa kutoka kwa wakulima wote duniani ambacho kitaongeza mazao yako zaidi ya mara tatu unayoweza kupata kutoka kwa mbolea zingine za kemikali. Super Gro ni bidhaa ya NEOLIFE , Hii ni kampuni ambayo kitaalamu inatengeneza na kusambaza duniani kote bidhaa za asili na lishe kwa binadamu na mimea .Super Gro ni kirutubisho cha maji kwa mimea ambacho hakina kemikali kabisa iliyoongezwa au kuchanganywa nayo,hiki kirutubisho ni salama kwa asilimia 100% kutumia kwenye mboga au mazao yoyote. Super Gro inaweza kutumika kwa mimea yoyote, mti, mboga na majani ambayo yanahitaji m...
Shamba bora MATUMIZI YA SUPER GRO KATIKA ARDHI Udongo mwekundu -1ml(cc) SuperGro kwa lita 1 ya maji. Udongo wa mfinyanzi na udongo mwingine 3ml SuperGro kwa lita 1 ya maji. Nywesha baada ya kuchipua au wakati wowote wa uhai wammea kama umechelewa sana. Nywesha wakati mbegu ziko kwenye vitalu au siku tatu(3) baada ya kupandikiza endelea kunywesha baada ya siku kumi na nne (14)wakati wa masika, kama jua kali sana nywesha baada ya siku saba (7).Wakati wakiangazi nywesha kila baada ya siku kumi (10). MAHINDI AU MPUNGA Mashamba ya mpunga na maindi Maelezo Changanya 10ml ya SuperGro na maji kidogo kwenye mbegu za mahindi au mpunga kiasi cha kilo kwa heka moja ya ardhi. Mchanganyowako usichuruzike halafu panda,zikiota na kuwa mimea kufikia majani 6 au 7 pulizia na pampu(solo la dawa)...