Jinsi yakutumia kwenye Bustani.
INATUMIKA MASHAMBANI NA BUSTANI.
Unaweka 20ml Super Gro kwa maji ya lita 20 na usimwagie kama maji bali nyunyuzia kama dawa ili
uingie moja kwa moja kwenye majani hadi mizizi.
Kazi yake;
•Inatunza unyevuunyevu
•Inaimarisha mmea
•Inaongeza mavuno (uzito mwingi)na ukubwa
•Aibagui mmea inafanya kazi kwa mmea wowote
•Inapunguza garama za kilimo hadi nusu
•Inaongeza faida
•Haibagui udongo
•Ni rahisi kutumia
•Aina madhara kemikali (imetengenezwa na vitu vya asili) hivyo Dumu moja la lita tano linaweza
kutumika hadi ekari 10>15.
Bustani ikipuliziwa Super Gro |
Baadhi ya umuhimu wa bustani ya nyumbani ni pamoja
1. Kupata hewa safi na ya asili
2. Kupata sehemu nzuri ya kupumzikia nje ya nyumba.
3. Kupendezesha muonekano wa nje wa nyumba yako.
4. Kupangilia na kuainisha matumizi ya ardhi ya nje.
WASILIANA NASI KUFANYA ODA (0692-901008)