SUPER GRO KIUNDANI ZAIDI
DUMU LA LITA (Tano) 5 LA SUPER GRO |
IFAHAMU SUPER GRO
Super Gro ni Kirutubisho bora asilia cha Mimea kisicho na kemikali ambacho kilitengenezwa ili kuhakikisha uimarishaji wa mazao yako katika hali ya majira yoyote pia huongeza uzalishaji wa mazao kwa ubora wa hali ya juu kwa kilimo chochote. Kirutubisho hichi asilia chenye sifa kutoka kwa wakulima wote duniani ambacho kitaongeza mazao yako zaidi ya mara tatu unayoweza kupata kutoka kwa
mbolea zingine za kemikali.
Super Gro ni bidhaa
ya NEOLIFE, Hii ni kampuni ambayo kitaalamu inatengeneza na kusambaza duniani kote bidhaa za
asili na lishe kwa binadamu na mimea .Super Gro ni kirutubisho cha maji kwa mimea ambacho hakina kemikali
kabisa iliyoongezwa au kuchanganywa nayo,hiki kirutubisho ni salama kwa asilimia 100% kutumia
kwenye mboga au mazao yoyote. Super Gro inaweza kutumika kwa mimea yoyote, mti,
mboga na majani ambayo yanahitaji mbolea.
HISTORIA
Super Gro ilianzishwa
karibu miaka 15 iliyopita kwenye Pwani ya Magharibi ya Afrika Kusini. Kiungo
chake kikubwa kuwa ni mbolea ya seabird(aina ya ndege) hupata kukusanywa kutoka
maeneo tofauti nane kando ya Pwani ya Magharibi chini ya usimamizi wa Uhifadhi
wa Hali ya Afrika Kusini, ili kuhakikisha kwamba ndege hao wote wanaish kwenye
mazingira mazuri bila uharibifu wa mazingira hayo wanayoishi.
MADINI YALIYO NDANI YA SUPER GRO
• Nitrogen (N) 72g per litre (Macro)
• Phosphorus (P) 45g per litre (Macro)
• Potassium (K) 30g per litre (Macro)
• Sulphur (S) 15g per litre (Macro)
• Calcium (CA) 9g per litre (Macro)
• Magnesium (MG) 7g per litre (Macro)
• Iron (FE) 5mg per litre (Micro)
• Iodine (IoD) 3mg per litre (Micro)
• Marine Salt (MS) 1mg per litre (Micro)
• Zinc (Zn) 1mg per litre (Micro)
Uzuri wa Super Gro ni
kwamba haina kemikali au chembechembe inayo adhiri usalama wa afya ya binadamu
kwa sababu haina mabaki ya kemikali ambayo yanaweza kubaki katika mazao ya
kilimo ambayo inaweza kuweka maisha ya binadamu katika hatari katika mchakato
wa matumizi . Hivyo basi,kutokua na kemikali hii mbolea ni rafiki kwa udongo
wowote bila kuleta madhara.
KAZI ZA SUPER GRO
1>Kusaidia udongo kutunza unyevunyevu kwa muda mrefu(wetting
agent) kwani Super Gro huvunjavunja uzio wa maji na kuruhusu kupenya hadi
tabaka la 3 la udongo
2>Kuongeza uzalishaji kwa maana ya wingi na ubora wa mazao.
3>Husaidia mimea kufyonza virutubisho vilivyomo katika udongo hasa katika tabaka la 3 la udongo kwani hufanya mizizi ya mimea kupenya ktk tabaka hilo na kufyoza virutubisho vyote muhimu hivyo mimea kuwa imara na yenye afya
4> Kusaidia dawa za kuulia wadudu zisitiririke (Sticker)na zifanye kazi ipasavyo, hivyo kupunguza garama za dawa na pembejeo zingine za kilimo
5>Kupunguza garama za mbolea(hadi kufikia nusu) kwani kwa kutumia Super Gro utatakiwa kutumia kiac kidogo sana cha mbolea
6>Kufanya mimea iwe na rangi halisi ya ukijani kwani ukijani huo ndio unasaidia mmea kujitengenezea chakula chake
7> Sio sumu na haiharibu udongo kabisa (unaweza kupuliza katika mmea asubuhi na baadae jioni ukaweza kula bila athari yoyote

Kazi ya ziada ya Super gro
- Huleta
nguvu mpya kwa mazao yaliyolemaa
- Huongeza maua ya uzallishaji na huzuia kupukutika kwa maua hayo
- Huongeza kiasi cha mavuno na pia ukubwa wa matunda
- Huongeza uzito wa mazao kwa mfano kabichi, viazi, mahindi, ngano, vitunguu, karoti, korosho, chai, kahawa, maharage, kunde na mazao mengineyo.
- Hunyonywa haraka zaidi na mimea na pia haina ugomvi na bidhaa zingine za kusaidia ukuaji wa mimea
- Husaidia kutunza unyevunyevu wakati wa jua na joto kali hivyo kuifanya mimea kuwa na afya hata wakati wa kiangazi.
JINSI NA MUDA WA KUPULIZA
Tunapuliza katika majani ya mmea pamoja na shina la mmea pia
Tunapuliza Mara 1 baada ya siku 7 kwa kipindi cha Kiangazi
Na Mara 1 baada ya siku 14 kwa kipindi cha Masika.
VIPIMO
1cc/ml ya Super Gro utachanganya na 1litre ya maji10cc za Super Gro utachanganya na 10litres za maji
KUMBUKA
Dumu moja la Lita 5
utatumia kwa eneo la Hekari 10 mpaka 15. **Lita 1 ya Super Gro utatumia kwa
heka moja mpaka 2
WASILIANA NASI KUFANYA ODA (0692-901008)