Udongo mwekundu -1ml(cc) SuperGro kwa lita 1 ya maji.
Udongo wa mfinyanzi na udongo mwingine 3ml SuperGro kwa lita 1 ya maji.
Nywesha baada ya kuchipua au wakati wowote wa uhai wammea kama umechelewa sana. Nywesha wakati mbegu ziko kwenye vitalu au siku tatu(3) baada ya kupandikiza endelea kunywesha baada ya siku kumi na nne (14)wakati wa masika, kama jua kali sana nywesha baada ya siku saba (7).Wakati wakiangazi nywesha kila baada ya siku kumi (10).

MAHINDI AU MPUNGA
Mashamba ya mpunga na maindi |
Maelezo
Changanya 10ml ya SuperGro na maji kidogo kwenye mbegu za mahindi au mpunga kiasi cha kilo kwa heka moja ya ardhi. Mchanganyowako usichuruzike halafu panda,zikiota na kuwa mimea kufikia majani 6 au 7 pulizia na pampu(solo la dawa) mchanganyo wa super gro na maji.VITUNGUU
Jamii ya vitunguu |