SUPER GRO ni kirutubisho cha asili cha mmea. Hutumika kwenye mbogamboga na mashambani.
KAZI YAKE NI NINI?
- Kurutubisha arithi.
- Kurutubisha mmea,
- Kusisimua mmea,
- Kusaidia mazao kuwa makubwa
- Inapambana na ukame,
- Inaongeza uzito,
- Inasaidia viwatilifu (dawa) kufanya kazi vizuri.
- Inasaidia vikonyo kuwa imara hivyo kusaidia kutopukutisha,
- inatibu aridhi.
- inangarisha ukoka na kuleta ugreen wa kungaa ambao aufifii ata jua liwe kali sana,
- inatoa matokea mazuri kwenye aina zote za mimea.
- Haina chemicals yeyote kwa hiyo ni salama.
- Ni zaidi ya booster na mbolea za kawaida.
WASILIANA NASI KUFANYA ODA (0692-901008)