Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2019

SUPER GRO NA BUSTANI

Jinsi yakutumia kwenye Bustani. INATUMIKA MASHAMBANI NA BUSTANI. Unaweka 20ml Super Gro kwa maji ya lita 20 na usimwagie kama maji bali nyunyuzia kama dawa ili uingie moja kwa moja kwenye majani hadi mizizi.  Kazi yake ; •Inatunza unyevuunyevu •Inaimarisha mmea •Inaongeza mavuno (uzito mwingi)na ukubwa •Aibagui mmea inafanya kazi kwa mmea wowote •Inapunguza garama za kilimo hadi nusu •Inaongeza faida •Haibagui udongo •Ni rahisi kutumia •Aina madhara kemikali (imetengenezwa na vitu vya asili) hivyo Dumu moja la lita tano linaweza kutumika hadi ekari 10>15. Bustani ikipuliziwa Super Gro Baadhi ya umuhimu wa bustani ya nyumbani ni pamoja  1. Kupata hewa safi na ya asili 2. Kupata sehemu nzuri ya kupumzikia nje ya nyumba. 3. Kupendezesha muonekano wa nje wa nyumba yako. 4. Kupangilia  na kuainisha matumizi ya ardhi ya nje. WASILIANA NASI KUFANYA  ODA ( 0692-901008)  UWAKALA  AU KUA MWANACHAMA W...

MBOGA MBOGA NA SUPER GRO

matokeo ya super gro SUPER GRO ni kirutubisho cha asili cha mmea.  Hutumika kwenye mbogamboga na mashambani. KAZI YAKE NI NINI? Kurutubisha arithi. Kurutubisha mmea, Kusisimua mmea, Kusaidia mazao kuwa makubwa Inapambana na ukame, Inaongeza uzito, Inasaidia viwatilifu (dawa) kufanya kazi vizuri. Inasaidia vikonyo kuwa imara hivyo kusaidia kutopukutisha, inatibu aridhi. inangarisha ukoka na kuleta ugreen wa kungaa ambao aufifii ata jua liwe kali sana, inatoa matokea mazuri kwenye aina zote za mimea. Haina chemicals yeyote kwa hiyo ni salama. Ni zaidi ya booster na mbolea za kawaida. WASILIANA NASI KUFANYA  ODA ( 0692-901008)  UWAKALA  AU KUA MWANACHAMA WA SUPERGRO HAPA TANZANIA  KUJIUNGA  MAELEZO ZAIDI PICHA HIO CHINI . UKITAKA KULIPIA AU KUJIUNGA WASILIANA NAMI ( 0692-901008)

IJUE SUPER GRO

SUPER GRO KIUNDANI ZAIDI DUMU LA LITA (Tano) 5 LA SUPER GRO IFAHAMU SUPER GRO Super Gro ni Kirutubisho bora  asilia  cha   Mimea   kisicho na kemikali   ambacho kilitengenezwa ili kuhakikisha uimarishaji wa mazao yako katika hali ya majira yoyote pia huongeza uzalishaji wa mazao  kwa ubora wa hali ya juu  kwa kilimo chochote. Kirutubisho hichi asilia chenye sifa kutoka kwa wakulima wote duniani ambacho kitaongeza mazao yako zaidi ya mara tatu unayoweza kupata kutoka kwa mbolea zingine za kemikali. Super Gro ni bidhaa ya NEOLIFE , Hii ni kampuni ambayo kitaalamu inatengeneza na kusambaza  duniani kote  bidhaa za asili na lishe kwa binadamu na mimea .Super Gro ni kirutubisho cha maji kwa mimea ambacho hakina kemikali kabisa iliyoongezwa au kuchanganywa nayo,hiki kirutubisho ni salama kwa asilimia 100% kutumia kwenye mboga au mazao yoyote. Super Gro inaweza kutumika kwa mimea yoyote, mti, mboga na majani ambayo yanahitaji m...